Hakuna cha umatola kwenye njaa mkuu..Umatola tunauweza sana.
Halafu kuna wakati tunajisahau na kujipiga tuvifua tulikovimbishwa na 'steroids' tukidhani ndio tumekuwa na misuri ya uhakika.
Unabuni mbinu ya kuomba ndio umatola wenyewe huoHakuna cha umatola kwenye njaa mkuu..
Siwezi bisha Sana but trend ya uchumi sio mbaya that much kwa sababu miradi ya zamani inaendelea na Mipya inafanyika..
Nashaka hii ni mbinu ya kutafuta mkopo maana hata investors wameongezeka mwaka huu kuliko miaka iliyopita..
Mikopo ya namna hii ni kama ya kulazimishwa vile na hao wakubwa.Hakuna cha umatola kwenye njaa mkuu..
Siwezi bisha Sana but trend ya uchumi sio mbaya that much kwa sababu miradi ya zamani inaendelea na Mipya inafanyika..
Nashaka hii ni mbinu ya kutafuta mkopo maana hata investors wameongezeka mwaka huu kuliko miaka iliyopita..
Ndivyo ilivyo kwani hatuna shida? Lete suluhisho sio kulalama tuuMikopo ya namna hii ni kama ya kulazimishwa vile na hao wakubwa.
Tatizo la umatola wetu ni kutotumia akili zetu vizuri.
Ukisoma hiyo karatasi tunayoiwasilisha kwao utadhani sisi ni watoto wenye shida wanaomlilia mzazi awasaidie, kumbe sisi ni taifa ambalo tunaweza kufanya makubwa zaidi ya hivyo vihela tunavyoombeleza kwa kujidhalilisha.
Bure kabisa akili zetu.
Unataka suluhisho. Ondoa uozo uliopo sasa serikalini na huko ndani ya CCM.Ndivyo ilivyo kwani hatuna shida? Lete suluhisho sio kulalama tuu
Hiyo inafanywa na wengi.Barua ya kuombea mkopo hiyo,sasa useme uchumi utakua vizuri utapata vipi mkopo wa covid? Uta justify vipi kwamba covid 19 imekuathiri? Lazima ushushe growth rate..mbinu za medani..
Hata hivyo baadhi ya sababu kama kadirio la pesa ya miamala kutofikiwa ni sahihi.
Unataka suluhisho. Ondoa uozo uliopo sasa serikalini na huko ndani ya CCM.
Hilo ndilo suluhisho.
Majibu ya tatizo hili ameyatoa Jenerali Ulimwengu leo, "CCM ina wanachama milioni 8, lakini wanaoruhusiwi kufikiri ni 3 tu". Na bahati mbaya ni kuwa hao watatu wanaoruhusiwa kufikiri, mara nyingi hawana fikra sahihi.Mikopo ya namna hii ni kama ya kulazimishwa vile na hao wakubwa.
Tatizo la umatola wetu ni kutotumia akili zetu vizuri.
Ukisoma hiyo karatasi tunayoiwasilisha kwao utadhani sisi ni watoto wenye shida wanaomlilia mzazi awasaidie, kumbe sisi ni taifa ambalo tunaweza kufanya makubwa zaidi ya hivyo vihela tunavyoombeleza kwa kujidhalilisha.
Bure kabisa akili zetu.
Ninakubaliana na hayo aliyosema Ulimwengu kama ulivyoyawasilisha hapa.Majibu ya tatizo hili ameyatoa Jenerali Ulimwengu leo, "CCM ina wanachama milioni 8, lakini wanaoruhusiwi kufikiri ni 3 tu". Na bahati mbaya ni kuwa hao watatu wanaoruhusiwa kufikiri, mara nyingi hawana fikra sahihi.
Majibu ya tatizo hili ameyatoa Jenerali Ulimwengu leo, "CCM ina wanachama milioni 8, lakini wanaoruhusiwi kufikiri ni 3 tu". Na bahati mbaya ni kuwa hao watatu wanaoruhusiwa kufikiri, mara nyingi hawana fikra sahihi.