Tanzania commission for university | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania commission for university

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Emma Lukosi, Sep 21, 2010.

 1. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hii ni taarifa fupi kuhusu central admission system ambayo imeanzishwa na TCU mwaka 2010.
  Kwa ufupi tu TCU waliamua kuanzisha mfumo huu baada ya kuona vyuo vinadahili watu wasio n vigezo, pamoja na vyuo ku run under capacity. Hivyo basi waliamua kua na mfumo huu ambao utarekebisha hayo yote. Walidai kuwa mfumo utakua wa computer hivyo hakutokua na upendeleo wowote ule. Kupitia guide book ambazo wenyewe kwa hiyari walizigawa bure pale kwenye kongamano lao lililofanyika Diamond jubilee hall 28/4/2010, zinasema application process zitaanza baada yamajibu ya kidato cha sita kutoka 30/4/2010. Kama ilivyopangwa baada ya mijibu kutoka watu walianza kununua vouchers zao na kuanza mchakato . Guide books zilikua zinasema process itafanyika kwa takribani mwezi mmoja na kufikia may 31 mwaka huu jedwali litakua limefungwa, then baada ya siku nne (4/6/2010) majibu yatakua hewani kwani kila kitu kitakua ni computerized. kufikia Katikati ya mwezi wa tano wakaja na propaganda kwamba watu hawakua na ufahamu wa kutosha hivyo wakaongeza muda kwa siku 15, hivyo basi deadline ikawa 15/6/2010 na majibu yatatoka tarehe 22/6/2010. Chakushangaza sasa ilipofika siku hiyo y tarehe 22/6/2010 waliwatumia watu sms za kwamba majibu yao yamepokelewa wasubiri selection itakayo fanyika on mid of august. Sijui ni kwa uzembe au ni nini system haikufungwa hadi tarehe za katikati ya mwezi wa saba. Lakini cha kushangaza zaidi hata ilipofika katikkati ya mwezi wa nane miyeyusho ilikua ileile wa kasema majibu watatoa katikati ya mwezi wa tisa, hivi msomi wa kweli anweza kutoa tarehe kama hizi kweli “on mid of august” au “on mid of September” . Nimesikitishwa sana juu ya swala hili kama tume yetu ya elimu ya juu bado inakua ya kibabaishaji kiasi hiki. Sote hapa tunazifahamu computer na jinsi ya utendaji wake ni computer kweli ambazo zinachambua hadi leo?!. Je hii tume ambayo imeundwa ili kusimamia vyuo vikuu ndani yake kuna wasomi kweli?!.
   
 2. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  There is no news in here to warrant this subject a news alert!!!!!!. What I am seeing in here is a complaint. Pole sana.
   
 3. S

  Safre JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanaofanya kazi tcu jiteteeni jaman vijana wameshoka kumbe migomo huwa mnaianzisha wenyewe sasa kaz ipo kwenye mikopo
   
 4. U

  Umsolopogaas Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana Imma kwa uchambuzi wako mzuri. Tume ya Vyuo Vikuu, TCU, imedhihirisha kuwa ni tume ya kuhujumu elimu ya juu na kuangamiza uhuru wa vyuo vikuu kwa faida ya vibaka wachache (hata kama wangekuwa wengi) bila kujali maslahi ya wanafunzi wala ya vyuo vyenyewe wala ya taifa. Kama huo siyo uhaini basi definition ya uhaini itakuwa na makosa.
   
Loading...