ahahahahahah kweli mwanangu.....wasepe kivyao....kibongobongo hakuna mwenye time yani...tutawachelewesha bure..hii nchi tunaijua wenyewe....kimtindo..hadi time hizi hatujui tuna serikali ngapi..alafu kabla hatujafikia muafaka tukaweka poooz..tuna discuss bajeti...wakati tunadiscuss bajet...tukaanza ku discuss dengue..alaf viongozi wakasema tutajenga reli zinazopita juu...ahahahha (kufurahisha wananchi wake kidogo)....