donimuya
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 272
- 55
Tanzania BRN VS Malayasia BFR
FAIL - PASS
BFR ni mpango wa serikali ya Malayasia wa matokeo makubwa ya haraka uliowekwa ili kuwezesha kauli mbiu ya Waziri mkuu Dato' Sri Mohd Najib Bin Tun Haji Abdul Razak ya "WATU KWANZA, UTENDAJI SASA"
VIPAUMBELE VYA BFR
1) Kupunguza Uhalifu
2) Kupambana na Ufisadi
3) Kuboresha Matokeo ya
Wanafunzi.
4) Kupandisha Kiwango cha
Maisha kwa Kaya za Kipato
cha chini.
5) Kuboresha miundombinu ya
ya msingi vijijini.
6) Kuboresha Usafiri wa umma
mijini.
VIPAUMBELE VYA BRN
1) Nishati na Gasi
2) Kilimo
3) Maji
4) Elimu
5) Usafiri
6) Ukusanyaji wa Maliasili.
Vipaumbele vya BFR vinaonyesha dhamila ya wazi ya kumkomboa mtu wa kipato cha chini. Lakini BRN imekaa kisanii/kilaghai kwa sababu vipaumbele vyake kwanza havijapambanuliwa yaani vipo kiujanja ujanja tu, pili bila kwanza kupambana na Ufisadi na uharifu hayo mengine hayawezi kutekerezeka.
Ni aibu kwetu Tanzania, Nadhani lengo la BIG RESULTS NOW ni kuiaminisha tu jamii kuwa kuna matokeo makubwa japo si kweli.
Hongereni Malayasia kwa BIG FAST RESULTS kwa sababu mmefika hapo mlipo kutokana na dhamila njema ya maendeleo Watu kwanza, utekelezaji sasa.
BILA KUDHIBITI MAFISADI NA UFISADI TZ TUMEISHA, Its just a matter of time.