Hao wadau waliokwambia hivyo wako right....lakini kuna wadau wananiambia kwa kuwa mimi ni mtanganyika hairuhusiwi.
Habari wana JF
Nataka kumiliki Ardhi hapa zenji...lakini kuna wadau wananiambia kwa kuwa mimi ni mtanganyika hairuhusiwi. Je hii ni haki kwa watz tuliopo zanzibar. Mbona wao bara wanamiliki. Nisaidieni nifanyeje
Aisee!nenda kwa sheha na barua mwambie chonde chonde sheha sijengi kanisa kabisa hapa wala klabu ya pombe! sheha atakusainisha pahala kukana kanisa na klabu za pombe watakuruhu kujenga.
Aisee!
Wako sawa kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania lakini sio kila mtanzania ni mzanzibari, na haya ni matokeo ya mfumo mzuri wa serikali mbili.
hata hivyo nani amekuambia tanganyika kuna anayemiliki ardhi?, labda ambayo isiyofaa kwa matumizi ya kilimo au yenye madini; kama kwa bahati mbaya umezaliwa kwenye ardhi yenye madini; atapewa muwekezaji leseni bila ya wewe kujua, inafika siku moja unashangaa jamaa wanakuambia tumekuja kutathmini mazao yako ili tukulipe miti na migomba yako uondoke
Hao wadau waliokwambia hivyo wako right.
It is just that simple.
Kwa sheria ya Baraza la Wawakilishi la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar.
Lakini wapemba na waarabu wa Unguja wamejaa tele wanamiliki ardhi Kariakoo, Namanga, Ilala, Tegeta, mikoani, kote nchi nzima kasoro uchagani. Wachagga they don't take that huey ya Wapemba kuja Tanganyika kuchukua maeneo kumiliki na kufanya biashara wakati kwao wametuandikia sheria vitabuni ya kutupiga marufuku Watanganyika kuonekana tumethubutu kununua ardhi Zanzibar.
THE LAND TENURE ACT, 12 - 1992
ENACTED by the House of Representatives of Zanzibar.
Right of a Grant of land.
24.(1) The right of occupancy shall only be granted to
Zanzibaris who are above the age of eighteen.
"Zanzibari" means:
(a) any person who is a citizen of Tanzania in
accordance with the laws relating to citizenship
and that he was born or has been residing in
Zanzibar before and up to the 12th of January
1964;
(b) any person who, as from the 26th day of April,
1964 is a citizen of Tanzania and was born in
Zanzibar with both of his parents being
Zanzibaris or either his father or mother being
Zanzibari in accordance with the Zanzibari Act,
1985;
(c) any person who is a citizen of Tanzania and was
born or has been residing in Zanzibar before the
26th day of April, 1964; and
(d) any person who is a citizen of Tanzania with
both of his parents being Zanzibaris or either his
father or mother being Zanzibari in accordance
with paragraph (a), (b) or (c) above.
57: Zanzibari requirement.
If it is determined that:
(a) any grantee is, at any time, proved to be a non-
Zanzibari; or
(b) an interest holder-makes, or attempts to make, a
transfer of his right of occupancy to a non-Zanzibari;
an order of termination shall be issued by the Minister which
shall provide that the right of occupancy is terminated and
the land shall be vacated forthwith.
We kajaribu tu. kule tatizo ni dini tu na pombe. nothing else. Ukiacha hilo la kujenga, tuseme kiu inakusumbua unataka uoe fastafasta we kimbilia tu msikitini kusilimu. kesho utakuwa tayari ushapata bibi wa kuona. yakhee keshakuwa mwenzetu huyu. ushanifahamu?
Mi na Yesu wangu, nimwache kisa mwanake. Impossible aisee!Na kwa taarifa yako watoto wa kule wanawapenda sana nyie wala ugali kutoka bara. uwa hawasemi tu. tatizo dini! ukisilimu tu baaasi....utakuja unambie?! nipo hapa.
Nashukuru mkuu...kunipa somo. Nimeshaelewa sasa. Nirudi Bara tu huku nimeshindwa kwa hali hii.
Hao wadau waliokwambia hivyo wako right.
It is just that simple.
Kwa sheria ya Baraza la Wawakilishi la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar.
Lakini wapemba na waarabu wa Unguja wamejaa tele wanamiliki ardhi Kariakoo, Namanga, Ilala, Tegeta, mikoani, kote nchi nzima kasoro uchagani. Wachagga they don't take that huey ya Wapemba kuja Tanganyika kuchukua maeneo kumiliki na kufanya biashara wakati kwao wametuandikia sheria vitabuni ya kutupiga marufuku Watanganyika kuonekana tumethubutu kununua ardhi Zanzibar.
THE LAND TENURE ACT, 12 - 1992
ENACTED by the House of Representatives of Zanzibar.
Right of a Grant of land.
24.(1) The right of occupancy shall only be granted to
Zanzibaris who are above the age of eighteen.
"Zanzibari" means:
(a) any person who is a citizen of Tanzania in
accordance with the laws relating to citizenship
and that he was born or has been residing in
Zanzibar before and up to the 12th of January
1964;
(b) any person who, as from the 26th day of April,
1964 is a citizen of Tanzania and was born in
Zanzibar with both of his parents being
Zanzibaris or either his father or mother being
Zanzibari in accordance with the Zanzibari Act,
1985;
(c) any person who is a citizen of Tanzania and was
born or has been residing in Zanzibar before the
26th day of April, 1964; and
(d) any person who is a citizen of Tanzania with
both of his parents being Zanzibaris or either his
father or mother being Zanzibari in accordance
with paragraph (a), (b) or (c) above.
57: Zanzibari requirement.
If it is determined that:
(a) any grantee is, at any time, proved to be a non-
Zanzibari; or
(b) an interest holder-makes, or attempts to make, a
transfer of his right of occupancy to a non-Zanzibari;
an order of termination shall be issued by the Minister which
shall provide that the right of occupancy is terminated and
the land shall be vacated forthwith.
Nashukuru mkuu...kunipa somo. Nimeshaelewa sasa. Nirudi Bara tu huku nimeshindwa kwa hali hii.
:typing:
Mi na Yesu wangu, nimwache kisa mwanake. Impossible aisee!
Hata hivyo sina mpango wa kuja huko hivi karibuni.
Habari wana JF
Nataka kumiliki Ardhi hapa zenji...lakini kuna wadau wananiambia kwa kuwa mimi ni mtanganyika hairuhusiwi. Je hii ni haki kwa watz tuliopo zanzibar. Mbona wao bara wanamiliki. Nisaidieni nifanyeje
Kwa sababu Wachagga wana mwamko na upeo mkubwa wa kulinda udau wao wa kiuchumi na kiuhai, existential and economic interests, kama vile ardhi na himaya za masoko. Mpemba hawezi kwenda uchaggani ku take over ardhi na kufanya biashara ovyo ovyo kama mtaa wa Congo ilhali wao kwao Zanzibar wameandika sheria ya Baraza la Wawakilishi inayotamka wazi wazi kwamba Mtanganyika marufuku kununua ardhi Zanzibar, again, kwa sheria ya Baraza la Wawakilishi, Zanzibar!Kwanini kasoro UCHAGANI Kuna nini huko WAPEMBA na WAARABU hawawezi kumiliki ARDHI?
Suali la kujiuliza kwanini wazanzibari waliamua kufanya hivyo ? Kwa kukufafanunulia, kumbuka kwamba zanzibar ni Taifa la wazanzibari na zanzibar ni visiwa vidogo, na lina eneo dogo, tumeungana na watu milioni 44 , kwa akili yako wewe mwenyewe, nikuulize suali, wazanzibari kama wakubali watanganyika wamiliki ardhi zanzibar, hivi waje milioni 5 tu ah tano wengi milioni 2 tu kila mtu apewe ardhi hivi zanzibar utaiyangaliaje ? Naona watu watakaa juu ya miti, na wazanzibari wenyewe hawatakuwa na na future ya vizazi vyao vya baadae kuwa na eneo na wao wakaja kuishi ndani ya zanzibar.Hao wadau waliokwambia hivyo wako right.