Us amey
Unajua kazi ya US cyber com? Wale ni kwa ajili ya jeshi lao.
Usualy wako pale kulinda infrastructure za jeshi. Si za kiraia
kuna agency ambayo si ya jeshi inafanya hizo kazi, CISA, wako under department of homeland security
Hawa wako kulinda miundo mbinu na data za serikal
Lakin kuna wadau wengine kama NSA, FBI cyber teams .
Pili sera ambayo imeruhusu makampuni makubwa kama microsoft, google wmbazo wa cyber labs zao na structure sao, kuijulisha serikal kama kuna shambulio ya kumtandao kwenye taasis zake
Si kila kitu ni kuweka jeshi