Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,125
- 6,141
Haya mambo yapo juu ya uwezo wako sio kosa lakoMi naomba ni kuulize kitu naona kama akili zilipataga ajali ya ndege.
Hivi wewe kila kitu dunia hii unataka kuwa unamawazo mengi kushinda hata computer na AI
Tuandike partition afukuzwe jamiiforumsMi naomba ni kuulize kitu naona kama akili zilipataga ajali ya ndege.
Hivi wewe kila kitu dunia hii unataka kuwa unamawazo mengi kushinda hata computer na AI
Unatosha kutuvusha mheshimiwa RaisTanzania army cyber command italifanya jeshi la Tanzania kuwa la kisasa Afrika na dunia kwa ujumla
Ntachukua ila kwa sasa hivi najenga imani mioyoni kwa watuKachukue form mzee, ugombee
Fanya ukiongea hawez mtu akakuelewa kama ana akili ndogo..Moja ya mambo ambayo ntaanzisha ni Tanzania army cyber command na itakua na kazi zifuatazo
- Kufacilitate cloud migration ya data zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
- Kuzilinda taaarifa zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
- Kulinda critical infrastructure mfano za umeme, na mawasiliano
- Electromagnetic warfare
- Information warfare
- Cyberspacing
View attachment 3338840
Fanya afu utoe mrejeshoMoja ya mambo ambayo ntaanzisha ni Tanzania army cyber command na itakua na kazi zifuatazo
- Kufacilitate cloud migration ya data zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
- Kuzilinda taaarifa zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
- Kulinda critical infrastructure mfano za umeme, na mawasiliano
- Electromagnetic warfare
- Information warfare
- Cyberspacing
View attachment 3338840
LEO NDO UMEONGEA KITU CHA TOFAUTI KABISA..Moja ya mambo ambayo ntaanzisha ni Tanzania army cyber command na itakua na kazi zifuatazo
- Kufacilitate cloud migration ya data zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
- Kuzilinda taaarifa zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
- Kulinda critical infrastructure mfano za umeme, na mawasiliano
- Electromagnetic warfare
- Information warfare
- Cyberspacing
View attachment 3338840
Mambo mengine unatakiwa ufanye ukiwa na mamlaka tofauti na hapo ni ngumuFanya afu utoe mrejesho
Hakuna kitu kinaitwa hivyo, hata hivyo si kazi ya jeshi kuhifadhi data za wizara au taasis za serikali.Moja ya mambo ambayo ntaanzisha ni Tanzania army cyber command na itakua na kazi zifuatazo
- Kufacilitate cloud migration ya data zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
- Kuzilinda taaarifa zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
- Kulinda critical infrastructure mfano za umeme, na mawasiliano
- Electromagnetic warfare
- Information warfare
- Cyberspacing
View attachment 3338840
Kama hakuna ndo kinachoizuia Tanzania wasiwe nacho hizi kali za kushikwa hiziHakuna kitu kinaitwa hivyo, hata hivyo si kazi ya jeshi kuhifadhi data za wizara au taasis za serikali.
Hiyo ji kazi ya separate entity, na ipo inafanya hizo kazi. In hizo onfrastructure
Jeshi la wananch letu adhim kabisa wana idars ya cyber ambayo si popular sana urainani. Wako vizuir na sikuizi wana vijana wameelimika sana
Police in other side is a different story