Tanzania and Malawi agree to peaceful lake Nyasa resolve at ICJ (International Court of Justice)

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573

Malawi and Tanzania will engage the International Court of Justice (ICJ) to amicably resolve the ongoing Lake Malawi border issue should they be dissatisfied by recommendations made by mediators, former Heads of State and Government Sadc Forum.
Foreign affairs and international cooperation minister, Ephraim Mganda Chiume told delegates at the 9th Southern Africa Civil Society Forum at Crossroads Hotel that Malawi commends its Tanzanian brothers and sisters for their gesture that the matter can be referred to the ICJ.
“This shows commitment by Tanzania to have this matter resolved peacefully. We as Malawi again will not comment more now as we have full trust of the ex Sadc leaders to resolve the matter by September 30,” he said.
He also elaborated why Malawi shares part of its lake with Mozambique and not Tanzania.
Chiume: Matter will be referred to ICJ

“In 1891 the Malawi – Mozambique border was similarly on the shoreline under a British – Portuguese treaty but was amended three years later to share the lake and part of Mozambican land. Unfortunatelythis did not happen in the case of the British – German treaty on the Malawi – Tanzania shoreline,” he explained.
The meeting is taking place on the sides of the 33rd Sadc Heads of State and Government Summit.
Other issues for discussion include election processes in Zimbabwe which just took place on 31st July amidst Sadc’s four years of intervention to find solutions for peace, stability and prosperity, in Madagascar which are hoped soon to be democratic, Swaziland which are slated next month September, and in Malawi on Tuesday 20th May next year.
Chiume actually promised government would not interfere with the work of the Malawi Electoral Commission and welcomed all to come back to Malawi to observe the process and actual polls.
 
This kind of diplomatic language is what we want to hear from every politician in Africa today, rather than using aggressive languages like that of Mutharika that "the lake is non-negotiable"!
 
We have qualified lawyers like Mkono, Marando and others , eventhough most of our Lawyers are very much corrupt.
 
Mh! Kazi ipo. Sasa hivi tuna matatizo na majirani wanne - Kenya, Uganda, Rwanda, na Malawi of course bila kuzisahau Unguja na Pemba. Tunahitaji kuwa makini sana na hizi issues.
 
with all the lakes and ocean that we have, i am sure we can afford to give lake nyasa to malawi
 
with all the lakes and ocean that we have, i am sure we can afford to give lake nyasa to malawi
we Can ila hatutofanya hivo itakua ni ujinga first degree, yani mimi nipo huku maji nayaona mbele yangu afu unaniambia ni nchi nyingine, hata huyo wa malawi aliyefikiria hivo kichwani kuna kitu hakijakaa sawa, inabidi wamfanyie scanning.
 
Mpaka wa Ziwa upo katikati na kwamba kuna upande uko Tanzania na upande mwingine Malawi...Malawi kusema ni lao lote basi hiyo nikujidanganya...
 
hii kesi tukienda ICJ tunaenda kushindwa. hakika yake mtakuja hapa na kunikumbuka. ilitakiwa tukatae kwenda icj kwasababu kwenda kule ni voluntary. ili icj iwe na jurisdiction kwetu sisi tunaogombana na malawi, UN charter inasema kuwa lazima nchi zote mbili zi consent kuwa wanataka jambo lao lienda icj. kama malawi wakikubali lakini tz ikakataa basi icj haitakuwa na jurisdiction. wote wawili tz na mlw wanatakiwa kukubali kulipeleka suala kule. hata hivyo, pale ambao icj itatoa uamuzi mtakapokuwa mmekubaliana iwaamue, uamuzi huo unakuwa binding. hivyo tz tukienda icj tukashindwa tukirudi hapa hatutatakiwa kabisa kugusa yale maji ya nyasa.

nafikiri ni mapema mno kulipeleka kule, kwasababu ili suala liende icj mnatakiwa kuwa mme exhost remedies zote available, yaani mmetumia njia nyingine zote za usuluhisi/uamuzi mkashindwa na option imekuwa kule. kwa sasa sidhani kama hao wasuluhishi kina chisano ndio haohao tu wanatosha, inatakiwa tuendelee kuwabana wamalawi kuwa na sisi hatutaki negotiation kabisa. suala hili la icj halihitaji mwanasheria aliyebobea sana, ni jepesi mno.
 
Hili jambo Kikwete aliache, tusubiri Serikali ijayo baada ya uchaguzi mkuu 2015. Hakuna haja ya kung'ang'ana kulimaliza haraka kwa kutafuta sifa kwa wazungu. Muda uliobaki kwa utawala wa JK ni finyu sana. Mfumo umepoteza umakini wanawaza changuzi, tusipo kuwa makini tutapokonywa Maji yetu.
 
I wonder if the border conflict could be resolved by words of mouth or round table resolution at ICJ. Isn't the same criteria which failed before? Sometimes secret diplomacy is better than court negotiation because we have witnessed earlier pitfalls for compromise means to settle down the dispute!
 
Mi navyoona malawi hii issue lengo lao n ICJ na wanajua wazungu wamewahakikishia kushinda ikizingatiwa kwa sasa wazungu tumewapa kisogo tumekimbilia uchina ; where is the justice; Naona ili suala liachwe liachiwe amri jeshi amkabidhi Mkuu wa majeshi kulinda nusu ya maji ; Tufunge mjadala anayetaka apambane na jeshi
 
mh! Kazi ipo. Sasa hivi tuna matatizo na majirani wanne - kenya, uganda, rwanda, na malawi of course bila kuzisahau unguja na pemba. Tunahitaji kuwa makini sana na hizi issues.

ni wachache sana mkuu tena ni dhaifu ukilinganisha na maadui tuliowahi kuwa nao siku za nyuma: Mataifa yote ya magharibi yalikuwa against tanzania yakiihujumu tanzania kupitia kwa vibaraka wao kama kenya na malawi, makaburu wa south afrika, nigeria (vita ya biafra) wareno (waliokuwa wakoloni wa angola na mozambique), uganda, libya bila kuisahau israeli tuliowafukuza kama mbwa na kufunga ubalizi wao dar es salaam. Vile vile tulikuwa na marafiki wengi sana wasioaminika kama rwanda, zaire ya mobutu n.k
 
hili usala tukienda icj tunakuwa tunasubiria kama bahati nasibu tu, lolote laweza kutokea, na ndio maana malawi wanao ujasiri mkubwa sana kwamba twende icj, malawi wanapata wapi ujasiri huo? mbona wana uhakika sana kuwa tukienda icj wao watashinda? ushahidi wao uko wapi, pengine wana evidence za kufa mtu tukienda pale tunapigwa chini mbaya. kama tunavyosifika kwa upelelezi watz, i hope tutakuwa tumewapeleleza kule kule kwao kiundani sana tukajua nini wanapata ujasiri na evidence zao wakienda icj (kama na sisi tutakubali kwenda) watatumia against us. ila kama tz tukiamua kwenda icj asilimia yetu kushinda ni 20% malawi 80%
 
ICJ uko ziwa litaenda Malawi tuu!
Na jamaa wakishinda itabidi waweke UKUTA maana kuna kupwa na kujaa kwa maji na mabdiliko ya mpaka kila wakati.
To mea haya mambo hayaitaji ICJ ni suala la kukubaliana unaanzaje sema ziwa lote lako kama sipo upunguani huo
How will you take control of the other side of the lake ambapo wakazi wake na wako ni wale wale.
Haya yote yameletwa na wazungu maana najua wakazi wa Liui na ngamnbo ya ziwa ni wale wale
 
ICJ uko ziwa litaenda Malawi tuu!
Na jamaa wakishinda itabidi waweke UKUTA maana kuna kupwa na kujaa kwa maji na mabdiliko ya mpaka kila wakati.
To mea haya mambo hayaitaji ICJ ni suala la kukubaliana unaanzaje sema ziwa lote lako kama sipo upunguani huo
How will you take control of the other side of the lake ambapo wakazi wake na wako ni wale wale.
Haya yote yameletwa na wazungu maana najua wakazi wa Liui na ngamnbo ya ziwa ni wale wale
Njowepo,

..tukishindwa ICJ itabidi diplomasia itumike ili kuwezesha wananchi wetu waweze kutumia ziwa hilo.

..lakini rasilimali nyingine kama gesi na mafuta ikiwa zitapatikana ktk ziwa itabidi ziwe za Malawi.

..I believe there is a lot of way around kuhakikisha kwamba we do not loose everything.
 
Last edited by a moderator:
Njowepo,

..tukishindwa ICJ itabidi diplomasia itumike ili kuwezesha wananchi wetu waweze kutumia ziwa hilo.

..lakini rasilimali nyingine kama gesi na mafuta ikiwa zitapatikana ktk ziwa itabidi ziwe za Malawi.

..I believe there is a lot of way around kuhakikisha kwamba we do not loose everything.

Imani ya kushinda inakufa pale nionapo kwa sasa TZ we are not serious at katika ambo ya msingi utashangaa ata kwenye hearing watu wasiende kwa sababu za kipuuzi tuu
 
Back
Top Bottom