the devil is in the details wanasema wazungu, korea samaki ni chakula chao kikuu kama japani, huko kwenye bahari yao wamemaliza samaki wote sababu ya over fishing sasa wanatafuta samaki kwingine, siku mkija kuamka wamemaliza pia samaki wote kwenye bahari ya tanzagiza due to overfishing lkn hakuna chochote mtakachopata zaidi ya kujengewa choo na maabara au korea drama soaps.
small eyes are very smart โฆ