ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,552
Ajali ya kusombwa na maji ilotokea Kibaigwa Dodoma juzi ni ya kusikitisha mno,Yaelezwa kuwa sehemu hiyo ilipotokea ajali ni hatarishi sana na inajulikana,Swali langu je kuna alama zozote zinazomtahadharisha dereva mgeni wa njia kua pahala hapo hupita mafuriko?
Nadhani hili ni jukumu la Tanroads...na iwe fundisho waamke sasa na kuweka alama maeneo mengine mengi hasa barabara kuu,kuna maeneo kuna uterezi mbaya lkn alama hakuna mpaka uwe mzoefu wa njia,kuna maeneo ya maporomoko,upepo mkali,wanyama kukatiza nk,vyote hivi anapaswa dereva hasa mgeni wa njia ajue anapokua barabara kuu.Mapungufu hayo huenda yakawayamechangia ktk ajali nyingi hapa nchini...mfano Nchi za wenzetu mathalan nichukue mfano Oman wao wanajali sana swala la usalama-Safety-hasa njia kuu sehemu yenye tabia ya kujaa maji kina cha kuweza leta madhara kwa Gari huwa kuna taadhari kubwa ya alama kabla ya dereva kulifikia eneo hilo vikiwamo vibao vya kukuonya usivuke eneo hatarishi iwapo maji yatafikia Mark wanayoiweka hapo na rangi nyekundu ya hatari.Tanroads fuatilieni hili Wapumzike kwa Amani Fanilia na wote waliopoteza maisha kwa mafuriko Huko Kibaigwa.