TANROADS, TANRIADS SIMIYU

TANROADS, TANRIADS SIMIYU

Mkyamise

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
526
Reaction score
677
Wahusika niliowataja hapo juu, barabara ya Mwanza - Musoma kipande cha kuanzia Masanza Kona hadi Nyakaboja mlikwangua barabara iliyokuwepo mkaacha virakaviraka. Tangu mama alipopita mpaka leo mliondoka nae au mlitaka kumhadaa? Mpaka msikie msiba ndio mtaamka au mtasema ni mapenzi ya Mungu?
 
Back
Top Bottom