TANROADS Generally katika mashirika ya umma imeperform vizuri zaidi kuliko Taasisi nyingi.
Ndio maana JPM aliiamini.
Kama kuna matatizo yapo ni kwa uchunguzi tu ndio mtu anawea kusema.
Tatizo la TAROADS kama ilivyosema huko yuma , i ile kuwa KING MAKER!
Wengine hawatalipenda kwa hilo maana, hata JPM aliwiwa kurudisha fadhila kwa waliomuwezesa.
Kama kuna makosa ni ya mtu biafsi kama tulivyoona kwa Eng Kakoko.
Ni hilo tu!!