and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,225
- 39,712
Jibu kwanza maswali yangu.Kwa taasisi ya serikali kupanga jengo la mtu binafsi na wakat ardhi yote nchini ni Mali ya Rais ni aibu. Taasisi Inapata ardhi bure, vifaa vya ujenzi havilipiwi kodi na wataalam wapo tayar wanalipwa mishahara na serikali
Jibu kwanza maswali yangu ndio uendelee. La sivyo utakuwa mpuuzi fulani umekosa cha kufanya.Unaelewa maana ya "income " kwa taasisi za umma? Labda tuanzie hapo
Kama umeshindwa kujibu maswali hayo tu je nikikuita kuwa wewe umebeba mboji kwenye ubongo wako nitakosea?Mjibu mpuuzi kwanza ww uliye mwerevu.
Anaeli huyu ni yule mchambuzi maarufu wa Pumba....?!Kama umeshindwa kujibu maswali hayo tu je nikikuita kuwa wewe umebeba mboji kwenye ubongo wako nitakosea?
Kama wanaweza kulipa kodi ya 2bil. wanashindwaje kujenga ofisi ya 1b??? Usimkoromee amesema kitu cha maana toka wamepanga jengo lile makao makuu ya airtel walipa Tsh. bil ngapi kwani wangejenga hizo fedha zingine wangefanya mambo mengine.Nawewe umejiona umepost sio. Kwani TANROADS ilianzishwa lini? Lengo lake ni nini? Je ipo na income? Huwa inapata wapi pesa? Ukiyajibu maswali hayo utakuwa umejijibu
Mkuu umenifanya nicheke sana japo huwa sipendi vijembe ndani ya JF. Kwamba mtu kabeba mboji kichwani badala ya ubongo, ni hatari.Kama umeshindwa kujibu maswali hayo tu je nikikuita kuwa wewe umebeba mboji kwenye ubongo wako nitakosea?
Motor vehcle/ road licence... Ni mpunga mrefu tuu! Basi tu nikukosa watu wenye maono...Nawewe umejiona umepost sio. Kwani TANROADS ilianzishwa lini? Lengo lake ni nini? Je ipo na income? Huwa inapata wapi pesa? Ukiyajibu maswali hayo utakuwa umejijibu
Labda tuanzie hapo. Wanalipa kodi 2billion kwa muda gani, mwaka mmoja, mwezi mmoja au miaka 2? Na je wanalipa kwa mkupuo ama kwa installment?Kama wanaweza kulipa kodi ya 2bil. wanashindwaje kujenga ofisi ya 1b??? Usimkoromee amesema kitu cha maana toka wamepanga jengo lile makao makuu ya airtel walipa Tsh. bil ngapi kwani wangejenga hizo fedha zingine wangefanya mambo mengine.