Tanroads-- iringa

Tanroads-- iringa

hawaita Comrade kuna barua za maombi 600 meneja wa mkoa kashindwa ameomba msaada makao makuu
 
Mapema sana mkuu mbona upo faster in the government and its agences kunamlolongo mrefu sana sio zoezi la siku mbili au tatu!! kwahiyo endelea kusubiri tu.
 
Kama amepeleka makao makuu afadhali coz mimi nimefuatilia kwa karibu sana hii isue ila baada ya nafas kutoka waziri mmoja kutoka njombe alipeleka majina ya watoto wawil shift in charge na baada kama ya wiki hivi mawaziri vivuli wawili walipeleka majina ya watoto wao. kwaiyo kama imeenda makao bora haki inaweza kutendeka.
 
Sasa kama Mawaziri wameanza kupeleka watu wao sisi Watanganyika ambao hatuna mawaziri wa kutupeleka tutapata kweli? Mh Hii nchi sasa imeshindikana du!.
 
Back
Top Bottom