Na hapo ndio nawashangaa WIZARA YA UJENZI NA MAWASILIANO.
Katika barabara hii nawapa weledi sifuri, maana hata solution ya tatizo hili kwa miaka sasa hakuna.
Pamoja na maboresho ya bandari, kwenye kuhakikisha mizigo inaondoka bandarini, kufikiri kwa maafisa wa Wizara kulishafikia mwisho.