TANROAD Tanga vipi?

TANROAD Tanga vipi?

nyango

Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Mbona kimya,kama kuna mdau anataarifa za kuitwa kwenye usaili atujuze,maana mawazo yote yapo huko.
 
Juzi nlipita pale wakat naelekea tanga..kituo tayar.nadhan kwa watu kuanza kazi kumependeza tu...subiria utaitwa ila mawazo yako mengine yalengeshe sehem nyingine
 
Nimeambiwa majina yametoka kwenye gazeti la mwananchi la tarehe 28-4-2014
 
majina nimengi kwahyo kuyapiga pic inakuwa kazi sana ndo maana nimekuambia unipe jina lako inakuwa rahisi
 
benedict ittika upo mkuu na ww tarehe 07/05 unafanya aptitude test na tarehe 08/05 unafanya oral interview kila lakheri mkuu
 
Jamani walioitwa weighbridge kuna yoyote ameitwa ikiwa hata cheti/diploma/degree ktk engineering, nataka kujua kama kuna walioapply kwa vyeti vingne wamekuwa considered.
 
Back
Top Bottom