Ngoja waje watujuze, maana hata mimi niliomba.Naomba kuuliza wadau kwa mwenye taarifa kuhusu nafasi zilizotangazwa na Tanroad kibaha kama wameishaanza kuita watu kwaajili ya interview.
Yaan ku apply uli apply kimya bila kuwashirikisha wenzako humu halafu kwny kuitwa interview ndo unakuja kuwauliza humu.Naomba kuuliza wadau kwa mwenye taarifa kuhusu nafasi zilizotangazwa na Tanroad kibaha kama wameishaanza kuita watu kwaajili ya interview.
Ahsante kwa taarifaWatu walishaanza kazi wiki iliyopita.
Ulikuwa wapi?
Wewe ndiye hukuliona tangazo. kwa taarifa tu hata mimi hilo tangazo lao la kazi nililiona humu humu JF.Yaan ku apply uli apply kimya bila kuwashirikisha wenzako humu halafu kwny kuitwa interview ndo unakuja kuwauliza humu.
Watu washanza Kazi kabisa uko