Tano bora yangu ya CCM ni hii

No, that's not true, it's an overstatem with no supporting empirical evidence
 
Camalillo

Mkuu mbona haueleweki? mara ya kwako mara source Raia Mwema.
 
Last edited by a moderator:
mamvi pamoja na kutumia pesa na mbwebwe zote hizo za kupata wadhamini mpaka sijui 53000 elfu bado hajafika kwenye tano 5 bora ni aibu kubwa sana
 
No, friend, jamaa alimjibu mtoa mada direct, kumbuka wakati nacomment mtoa mada hajaleta hiyo reference!!!
 
Watanzania wanamtaka Lowassa tu

Naona umekuwa msemaji wetu,watu wengine majuha sana yaani unajifikiria ww tu ulieko kwenye payroll
Hufikirii ten yrs to come watoto wako watakuwa katika hali gani ktk mfumo huu wa chukua chako mapema wanyuma watajijua
kisa una uhakika wa mkate wako hadi October aaah umesharizika hutaki kufikiri zaidi ya hapo nn kitaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…