Tatizo imeangukia Geto kwa Wahuni mbona uko ilipotoka imepita SalamaUnataka watoe majibu kwa nini imeanguka bila kufanya uchunguzi?
Umefakamia daku umeshiba sasa umeanza kuuliza Maswali Uchwara yasiyo na maana wakati taarifa ipo hapo nimekuwekea!!!

😄😄Imetunguliwa hiyo inaangukaje tu bila sababu au ilikuwa ina kifafa
🤣🤣🤣 ImagineNdege ya kijeshi inaangukaje kama embe
😄😄 ShameTatizo imeangukia Geto kwa Wahuni mbona uko ilipotoka imepita Salama
Trump kachokoza Vita. Ngumu.
Imeanguka wenyewe ? Mkiristo wewe umekuwa progandist wa magharibi, leo naona hii umeripoti kwa unyongeNdege ya kujaza mafuta angani Tanker KC-135 imeanguka huko Iraq ikiwa kwenye Operation kuzijazia mafuta ndege vita zinazoishughulikia Iran,
Shughuli za uokozi zinafanyika CENTCOM wameeleza!!
Hata usipotaka tufanye .imetunguliwa na wapiganaji wa Iraq Tena siyo Iran na wame confirm hilo wao wenyewe.Haya tufanye imetunguliwa na Iran
Imekuwaje ikaanguka !!!!?Ndege ya kujaza mafuta angani Tanker KC-135 imeanguka huko Iraq ikiwa kwenye Operation kuzijazia mafuta ndege vita zinazoishughulikia Iran,
Shughuli za uokozi zinafanyika CENTCOM wameeleza!!
Endeleea kuteseka!!!Imekuwaje ikaanguka !!!!?
uyo Trump kakusanya pesa za Tozo nakuja kuzitupa middle east ¿¿¿
Uchaguzi upo mbele yake. Putin sijui atafanyaje kulibeba ili Zeeee kabla ya Uchaguzi wa Mabunge yao,.
Majuto mjuu!! chuki zake zinamtokea puani!!
Kama nakuona moyoni unavyogugumia kwa maumivu.Haya tufanye imetunguliwa na Iran
Hahahaha yaani ndege ya 4 sasa imeanguka ila zote eti ni ajali au friendly fire!! Meli imeungua mmedai ni hitilafu!! Hauoni kuna something weird.Unataka watoe majibu kwa nini imeanguka bila kufanya uchunguzi?
Umefakamia daku umeshiba sasa umeanza kuuliza Maswali Uchwara yasiyo na maana wakati taarifa ipo hapo nimekuwekea!!!