Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Nchi hii tuna wafanyabiashara wa hovyo. Shule ndogo ni tatizo. Serikali imewaagiza wanunue kwa 1200 ikatoa ahadi ya fidia kama watapata hasara, imewadhamini kupata mikopo benki, bado wanafanya ujinga wa aina hii. Magufuli uko sahihi. Punguza majadiliano na wapuuzi kama hawa.
Gari aina ya scania iliyokamatwa na pamba hiyo
Derick Milton, Simiyu
Zikiwa zimepita siku kumi tangu Mkuu wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Festo Kiswaga, ataifishe tani 26 za pamba iliyodaiwa kununuliwa kwa njia ya machinga, leo Jumamosi Agosti 24, Mkuu huyo wa Wilaya ametaifisha pamba nyingine tani 20.
Akiongea na waandishi wa habari Kiswaga amesema kuwa pamba hiyo imekamatwa katika kijiji cha Igegu kata ya Sapiwi majira ya saa 5 asubuhi ikiwa imepakiwa kwenye gari aina ya scania yenye namba za usajili T 729 ARN.
Amesema kuwa kupitia kikosi kazi ambacho alikiunda cha kupambana na watu wanaonunua pamba kwa njia ya machinga, gari hilo baada ya kukamatwa dereva aliweza kukimbia kusikojulikana.
“Kikosi kazi hiki baada ya kukamata, kilikuta pamba haina kibali chochote na haikujulikani wapi inaenda, nani mmliki wake, na hata gari halijajulikana ni mali ya nani,” amesema Kiswaga.
Amesema kuwa ilibainika kuwa pamba hiyo ilikuwa inanunuliwa kwa njia za machinga, ambapo wakulima walikuwa wakinunuliwa kwa sh.600 hadi 800 kutoka katika kijiji hicho.
“Baada ya kubaini hivyo nimeamua kuitaifisha pamba hii na tutaenda kuiuza leo kwenye kiwanda cha kuchambua pamba chochote na pesa yote ambayo itapatika tutaipeleka katika kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi Igegu,” amesema Kiswaga.
Aidha amewaonya viongozi wa Vyama vya Msingi vya Ushirika (Amcos) ambao wamekuwa wakishirikiana na makampuni kununua pamba kwa njia ya umachinga kuwa watakamatwa na kuchukuliwa hatua.
Benki zimeshatoa kiasi gani hadi sasa?Nchi hii tuna wafanyabiashara wa hovyo. Shule ndogo ni tatizo. Serikali imewaagiza wanunue kwa 1200 ikatoa ahadi ya fidia kama watapata hasara, imewadhamini kupata mikopo benki, bado wanafanya ujinga wa aina hii. Magufuli uko sahihi. Punguza majadiliano na wapuuzi kama hawa.
ambapo wakulima walikuwa wakinunuliwa kwa sh.600 hadi 800
Bora hiyo 800 ya papo kwa papo kuliko hiyo 1200!!ya baada ya miezi nane!! Toka mwezi wa tano wakulima walivuna pamba wakakataa kulipwa hiyo 1000,wakitaka walipwe 1200!!wakaiweka ndani wakati huo gunia la mahindi (katavi) lilikuwa likiuzwa elfu 25! Leo wanakopwa kwa 1200,gunia la mahindi ni elfu 55!!hapo nani bwege? Nfra wananunua mahindi kwa kilo shilingi500!! Nani akakopwe bora mtu auze kilo kwa shilingi 400!!ya hapo hapo.Nchi hii tuna wafanyabiashara wa hovyo. Shule ndogo ni tatizo. Serikali imewaagiza wanunue kwa 1200 ikatoa ahadi ya fidia kama watapata hasara, imewadhamini kupata mikopo benki, bado wanafanya ujinga wa aina hii. Magufuli uko sahihi. Punguza majadiliano na wapuuzi kama hawa.
Hadi leo 24 Agosti 2019 washatoa zaidi ya shilingi za Kitanzania bilioni 120Benki zimeshatoa kiasi gani hadi sasa?
Gari aina ya scania iliyokamatwa na pamba hiyo
Derick Milton, Simiyu
Zikiwa zimepita siku kumi tangu Mkuu wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Festo Kiswaga, ataifishe tani 26 za pamba iliyodaiwa kununuliwa kwa njia ya machinga, leo Jumamosi Agosti 24, Mkuu huyo wa Wilaya ametaifisha pamba nyingine tani 20.
Akiongea na waandishi wa habari Kiswaga amesema kuwa pamba hiyo imekamatwa katika kijiji cha Igegu kata ya Sapiwi majira ya saa 5 asubuhi ikiwa imepakiwa kwenye gari aina ya scania yenye namba za usajili T 729 ARN.
Amesema kuwa kupitia kikosi kazi ambacho alikiunda cha kupambana na watu wanaonunua pamba kwa njia ya machinga, gari hilo baada ya kukamatwa dereva aliweza kukimbia kusikojulikana.
“Kikosi kazi hiki baada ya kukamata, kilikuta pamba haina kibali chochote na haikujulikani wapi inaenda, nani mmliki wake, na hata gari halijajulikana ni mali ya nani,” amesema Kiswaga.
Amesema kuwa ilibainika kuwa pamba hiyo ilikuwa inanunuliwa kwa njia za machinga, ambapo wakulima walikuwa wakinunuliwa kwa sh.600 hadi 800 kutoka katika kijiji hicho.
“Baada ya kubaini hivyo nimeamua kuitaifisha pamba hii na tutaenda kuiuza leo kwenye kiwanda cha kuchambua pamba chochote na pesa yote ambayo itapatika tutaipeleka katika kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi Igegu,” amesema Kiswaga.
Aidha amewaonya viongozi wa Vyama vya Msingi vya Ushirika (Amcos) ambao wamekuwa wakishirikiana na makampuni kununua pamba kwa njia ya umachinga kuwa watakamatwa na kuchukuliwa hatua.
Hujui unachokitetea manyo'anokho ebhe!!Nchi hii tuna wafanyabiashara wa hovyo. Shule ndogo ni tatizo. Serikali imewaagiza wanunue kwa 1200 ikatoa ahadi ya fidia kama watapata hasara, imewadhamini kupata mikopo benki, bado wanafanya ujinga wa aina hii. Magufuli uko sahihi. Punguza majadiliano na wapuuzi kama hawa.
Wakija kuleta hizi akili mavi kwenye zao langu la mpunga, ntakuja nimfile mtu mchana kweupe! shida npate mm mkulima uuzaji wanipangie wao?NCHI INAENDESHWA KIP.UMBAVU SANA HII, KWANINI WASIACHE DEMAND&SUPPLY KU-DETERMINE PRICE?
HUKO SHULE WALISOMEA UJINGA, MKULIMA AWE NA HAKI KUUZA KWA BEI YOYOTE ILE NA KWA MTU YOYOTE YULE! HIVYO VYAMA VYA USHIRIKA VIKICHUKA PAMBA LEO MALIPO NI 2020 TENA KWA USUMBUFU WA KUTOSHA.
bola kuuza hyo 800 kuliko kusubili 1200 2025 tena u alipwa kwa awamuBenki zimeshatoa kiasi gani hadi sasa?
nmekumbuka zile aliztoaga baba ako usiku kwa mama akoHadi leo 24 Agosti 2019 washatoa zaidi ya shilingi za Kitanzania bilioni 120
Kama tuna nia ya kuwakomboa wakulima, fedha itakayopatikana itumike kuwafidia hao wakulima. Vinginevyo ni dhuluma tupu.Mh kwa stahili hii tuna safari ndefu kumkwamua mkulima na wafanyabiashara.