Tangu tupate pigo la kuondokewa na Baba wa Taifa,huu ni wakati muafaka wa Mungu kutuondolea watesi wetu wa pale Magogoni

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,194
2,000
Kiburi si maungwana

Tumempa ajira ,tunamlipa mshahara,anakula bure,kuvaa,kunya,kulala,kulindwa ,kutembelea gari zuri kwa kodi zetu

Lakini kajawa na kiburi ,anatudharau tunaompa mshahara,anatunyanyasa na kutuona maadui pale tunavyomrekebisha anapokosea

Kila kitu kinachomnufaisha mwana nchi moja kwa moja kaharibu Leo wananchi wanajuta kuzaliwa hapa

Yani mtu mmoja tu atuendeshe watu zaidi ya milioni 55

Mungu Fanya ujuavyo huko mbinguni na popote ulipo utuondolee huyu mtu aende makazi ya milele .

Sigara Kali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,121

Dalili za mtu mfu utazijua kwa.kauli zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,067
2,000
Kiburi si maungwana

Tumempa ajira ,tunamlipa mshahara,anakula bure,kuvaa,kunya,kulala,kulindwa ,kutembelea gari zuri kwa kodi zetu

Lakini kajawa na kiburi ,anatudharau tunaompa mshahara,anatunyanyasa na kutuona maadui pale tunavyomrekebisha anapokosea

Kila kitu kinachomnufaisha mwana nchi moja kwa moja kaharibu Leo wananchi wanajuta kuzaliwa hapa

Yani mtu mmoja tu atuendeshe watu zaidi ya milioni 55

Mungu Fanya ujuavyo huko mbinguni na popote ulipo utuondolee huyu mtu aende makazi ya milele .

Sigara Kali

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi Watanzania wazalendo tunamuombea Mungu ampe maisha marefu yenye raha bila karaha. Watu kama ninyi mafisadi na wanyonyaji wa mali za umma Mungu awape adhabu mnayostahili...aaamin.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom