Tangu Magufuli aingie madarakani ni mambo mawili tu ninayompongeza

umesahau na kumshauri apige marufuku hata kuonyesha Live vipindi vya mipira,taarifa ya habari,ziara za wakubwa na mambo mengine yanayofanana na hayo na ikiwezekana afungie TV zote zibaki redio tu,
Kwangu yote sawa tu,maana sikumbuki ni lini niliwasha tv yangu.
 

Huyo jamaa nimemfuatilia muda mrefu post zake na ni haki yake kabisa kidemokrasia. Huyo jamaa alikuwa mwanacdm na huenda alikosa nafasi ya uongozi hasa baada ya gia kubadilishwa angani. Kitendo hicho naona kimemuacha na nongwa (frustration) ya hatari. Hapo anaposema kuzuiwa mikutano roho yake imesawijika kwani anashindwa tu kuwataja cdm bali wangalau kumempunguzi machungu yake. Nadhani huwa mke wake anamzodoa kwa kupoteza muda na fedha zake kisha kupotezewa dakika za mwisho. Hali ya kunyimwa madaraka huwa inauma sana kwa mtu yoyote, hatuna la zaidi bali tunakubali hali anayopitia ni ya kibinadamu kabisa, na anaruhusiwa kuwaponda cdm awezavyo kwani kama ni wasikivu basi watajirekebisha kupitia vilio vyake hapa jukwaani.

cc: juvenile davis
 
Lowasa mbona haumsemi
 
Lowasa mbona haumsemi
Sasa si tumeshajua ukweli wa mambo na tatizo lilianzia kwa RAIS DHAIFU sasa unataka tuendelee kumuita lowassa fisadi??

Mikutano hyo hyo tuliita cuf ni ccm B ila tumeweka tofauti zetu pembeni tukashirikiana unataka tuendelee kuwaita CUF ccm B leo??

Nashangaa umemtaja lowasa tu wakati tulimsema muhongo,kikwete,chenge n.k why lowassa always???
 
nampongeza Magufuli kwa kuleta mabadiliko Tanzania, ujinga wa zamani unaanza kwisha kabisa, vilaza wako mitaani wanalia pamoja na marafiki zao machangu.
 
UKAWA imekufa,
CUF inakufa
Mbowe anafilisika.
Asee ahsante kwa taarifa mkuu sasa mazishi lini ya hyo ukawa tuhudhurie??

Sasa naona utumie fursa hii kumshauri mwenyekiti wako aruhusu mikutano ya hadhara na aweke tume huru maana wapinzani wameshakufa wote.....au unaonaje mkuu kamshauri basi maana ukawa hawapo tena so hakuna madhara
 
It seems you wrote while dreaming
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…