johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Chadema ilianza kugombea Urais wa JMT. Mwaka 2005 kabla ya hapo waliokuwa wanamuumga mkono Prof. Lipumba wa CUF
Kumbukumbu za Chadema zinaonyesha 2010 Dr Slaa alifanikiwa kuingiza Jumla ya Wabunge 48 wakiwemo wa viti maalumu.
2015 Lowassa aliingiza Wabunge wa kuchaguliwa 34 na viti maalumu 36 Jumla 70.
2020 Tundu Lisu aliingiza mbunge mmoja wa kuchaguliwa na 19 wa viti maalumu Jumla 20.
Ikumbukwe kuwa ubora wa Wagombea Urais wa JMT husaidia kupata Wabunge wengi kwenye majimbo.
Mungu ni mwema wakati wote.