last year nilionana na mzee tango mmiliki wake pale rose garden aliniambia kuwa kampuni ilifilisiwa na tra kwa ukwepaji kodi,ila alikata rufaa akashinda na analipwa na serikali,but muda huu tayari mr tango alikuwa ameshakunywa kilaji na masihara mengi,

duh!sorry nilijua tayari kalewa kwa mazingira yale na mazungumzo yake kunikebehiMzee Verani Tango hatumii kilaji unachokisema ila tu ni mwenye utani mwingi. Hata hivyo, kwa sasa kutokana na afya yake hana
kumbukumbu nzuri.
Tango transport.Kwang yemet.Viran,ni kweli huyu jamaa alikuwa anatisha sana,alikuwa na mashamba ya ngano pale Babati,alianza mikosi baada ya kununua chakula barafu pale jirani na NMC,ikaja scandal ya kukwepa ushuru TRA wakambananisha,mi nafikiri labda hakukifadhili chama chetu au alikosana na wakubwa,hebu aulizwe vizuri maana alifilisiwa enzi ya Sumaye na ni mbulu mwenzie alishindwa kweli kumsaidia???????????????ana magari mabovu pia njia ya kwenda white sand yamepaki miaka mingi sana.kama sikosei alizaa na rubani mwanamke wa kwanza hapa bongo wa air tz.ila wakati wake alikuwa na nyodo huyo usipime