HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Yuko sawa.Tangi au tank
Kimtaani mtaani tunaita hivyo.
Ndio maana kuna sehemu inaitwa Tangi bovu
Yuko sawa.Tangi au tank
Hahahahaha sawa mkuu..Achana nalo, linavuja balaa.
Haya wavencha saanaYuko sawa.
Kimtaani mtaani tunaita hivyo.
Ndio maana kuna sehemu inaitwa Tangi bovu
Mi namtaka muuzaji
Bei gain na lipoprotein wapiMi namtaka muuzaji
Nanunua kwa dolaBei gain na lipoprotein wapi
Tangi utatilia maji huyo mrembo utatia nini?Mie niuzie huyo mrembo tu hilo tangi baki nalo mwenyewe.
Inaonekana lina viwango vyoteLimethibitishwa na TBS?