Tangazo

kwaji

Senior Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
186
Reaction score
32
Kesho saa 4 kamili asubuhi TRAVENTINE HOTEL MAGOMENI MAPIPA kutakuwa na mkutano mkubwa wa mawakala wanatoa huduma za pesa kwa simu za mikononi Tanzania Unakaribishwa kwenye MKUTANO kama ww ni wakala
 
Wewe unatoa tangazo ucku watu wamelala.shame on you
 
hili tangazo anatakiwa atoe wakala mkuu au tupatiwe sms kwenye till zetu.n mawakala wangap wanaingia jf
 
Kesho saa 4 kamili asubuhi TRAVENTINE HOTEL MAGOMENI MAPIPA kutakuwa na mkutano mkubwa wa mawakala wanatoa huduma za pesa kwa simu za mikononi Tanzania Unakaribishwa kwenye MKUTANO kama ww ni wakala

unajifunza ku post?
rekebisha hiyo headline kwanza afu nikirudi unijibu we ni mwanga au mwizi? usiku huu ni nani unamlenga asome tangazo? hao walengwa wanarudi hoi, kutwa nzima wanagombana na wateja wewe unawawekea Tangazo saa sita hii?
Halafu wakenya wakianza kuuza muda wa maongezi na kutoa huduma za mobile money mtasema wanaingilia kazi za wazawa. wazawa mnatangaza matanagazo saa 8 usiku kama mikutano ya wanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…