Tangazo

Hahahaha duh kumeza maganda ya miwa?Hiyo ni balaaa
 
haha... Uyo utawala na mtafuta hadi leo naona anaongoza kwa matangazo ya ajabu.. Picha yake jamani.
 
Inaonekana sehemu hiyo kuna miwa mingi sana ila nimecheka sana aisee!!!
 
mi nina minoti ya buku teni teni nimechoka kuibeba pia siruhusiwi kutupaaaaaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…