donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
ShikamoooUwiii!!! Hawatakii mema hao waoaji mana sio bure.
πnahisi baada ya wao kupotea ghafla bibi harusi nae anafuata
Rafiki yanga... wanasemaje π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺUwiii!!! Hawatakii mema hao waoaji mana sio bure.
Mtunzi hakufikilia hiloWakichinjwa kabla ya hio wiki kuisha inakuwaje??
π³π³π³π³ Yanga leo?Rafiki yanga... wanasemaje π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Na ZESCO nasikia mmetolewa kiume π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ³π³π³π³ Yanga leo?
[emoji23]nahisi baada ya wao kupotea ghafla bibi harusi nae anafuata
Mkuu ongeza wakae hata mwezi maana wiki wanaweza wakasanda. Nataka kuoa msukuma mmoja sasa wanadai ng'ombe kumi wakati hata kuku kwetu hakuna. Mimi nitatoa laki ila wakichinjwa ni juu yako. Kama watakula upepo poa tu.Hahahah