Tangazo: White Zone tuition centre

H.POMPI

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
14
Reaction score
0
Inahusika na;
01. Tuisheni kwa wanafunzi wa Shule za Msingi zisizo za Serikali (ENGLISH MEDIUM SCHOOLS).
02. Tunatoa Mitihani ya majaribio kila J'mosi ili kuwafanya wanafunzi wajifunze katika hali ya ushindani.
03. Tunatoa ratiba ya wanafunzi kujisomea nyumbani, bure.
04. Elimu ya watu wazima wasiyojua Kusoma na kuandika Lugha ya Kiswahili.
05. Kiingereza cha Kuongea na Kuandika kwa wanafunzi wa Shule za Msingi za Serikali.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA;
-0712-148899
-0762-664887
 
Kwa hiki ulichokifanya hapa unahisi umelitendea haki hili jukwaa??
 
Sina yakini bro. Ila nikosoe halafu nipe mwongozo wa haki ya muktadha wangu nikautendee kwenye kichwa cha habari gani/kipi?.
 

Ni kweli mkuu,
Hili tangazo lingefaa zaidi kule kwenye jukwaa la
"MATANGAZO MADOGOMADOGO."
 
Basi msijali wazee, ndiyo nilitaka mwongozo km huo kuwa nilipeleke wapi. Shukurani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…