Tangazo Tangazo

AAah, sasa mbona ile ya mambo yetu yaleee haipo, kuvuta mpenzi
 
bado wataenda na kupanga foleni duu
 
njoo upatiwe kinga za hii kitu

Kwa Watanzania, atawapata wengi tu! Kama Gwajima alisema Chifupa Amina amemvuta yuko Chalinze na watu wakaamini pale Ubungo kanisa la ufufuo na Uzima, watakwenda wengi tu na atachuma hela! Just see what Mzee wa Upako anachokifanya cha kuwapa watu kazi, malori, nyumba etc just kwa kusema tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…