Tony Gwanco JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 5,913 Reaction score 1,219 Sep 8, 2014 #1 Mwizi anatafutwa Attachments 1410157989227.jpg 32.6 KB · Views: 229
akohi JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 787 Reaction score 527 Sep 8, 2014 #2 Mode. Sijaelewa kwanin jf hatuna "unlike" maana ingeleta nidham ya mtu kufikiri kabla ya ku post otherwise vitu kama hivi havitaisha . Sasa hili tangazo linamhusuje mwana jf?
Mode. Sijaelewa kwanin jf hatuna "unlike" maana ingeleta nidham ya mtu kufikiri kabla ya ku post otherwise vitu kama hivi havitaisha . Sasa hili tangazo linamhusuje mwana jf?
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Sep 8, 2014 #3 akohi said: Mode. Sijaelewa kwanin jf hatuna "unlike" maana ingeleta nidham ya mtu kufikiri kabla ya ku post otherwise vitu kama hivi havitaisha . Sasa hili tangazo linamhusuje mwana jf? Click to expand... Hii ilipaswa kupelekwa Jukwa la Jokes, si hapa...
akohi said: Mode. Sijaelewa kwanin jf hatuna "unlike" maana ingeleta nidham ya mtu kufikiri kabla ya ku post otherwise vitu kama hivi havitaisha . Sasa hili tangazo linamhusuje mwana jf? Click to expand... Hii ilipaswa kupelekwa Jukwa la Jokes, si hapa...
NYEHUNGE JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 344 Reaction score 68 Sep 8, 2014 #4 Bishop Hiluka said: Hii ilipaswa kupelekwa Jukwa la Jokes, si hapa... Click to expand... Hata huko halifai.
Bishop Hiluka said: Hii ilipaswa kupelekwa Jukwa la Jokes, si hapa... Click to expand... Hata huko halifai.
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Sep 8, 2014 #5 Yaani watu wana muda wa kuchezea aiseee hadi nawaonea wivu
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Sep 8, 2014 #6 hivi jamani kweli mtu afikiri muda wake anaoupoteza kwa kupost vitu visivyoeleweka hapa yaani tunafungua nadhani ni tangazo la muhimu kumbe ni ukichaa tu hapa mods angalieni post zingine jamani
hivi jamani kweli mtu afikiri muda wake anaoupoteza kwa kupost vitu visivyoeleweka hapa yaani tunafungua nadhani ni tangazo la muhimu kumbe ni ukichaa tu hapa mods angalieni post zingine jamani
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Sep 8, 2014 #7 Bishop Hiluka said: Hii ilipaswa kupelekwa Jukwa la Jokes, si hapa... Click to expand... Hata huko halifiti hili ni la kufutwa kabisa....
Bishop Hiluka said: Hii ilipaswa kupelekwa Jukwa la Jokes, si hapa... Click to expand... Hata huko halifiti hili ni la kufutwa kabisa....