Tangazo Tangazo Tangazo!

Tangazo Tangazo Tangazo!

bitunyi

Member
Joined
May 20, 2014
Posts
38
Reaction score
4
Habari zenu humu ndani,

Kuna fremu zinapangishwa maeneo ya alimaua kwa mtogole.Fremu zipo barabarani kabisa,vizuri kwa biashara yako na kuna watu wa kutosha kukuungisha kwa biashara iyo.Fremu ni kubwa za kukidhi mahitaji yako

Pia ipo sehemu ya kuegesha gari lako kwa wale wenye usafiri.
Fremu ni shilling laki mbilo kwa mwezi na unaanza kulipia kwa miezi sita ya mwanzo.

Kwa atakaehitaji,tafadhali ani pm..Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom