Tangazo! Tangazo! Tangazo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo! Tangazo! Tangazo.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by bishankara, Oct 16, 2012.

 1. b

  bishankara Senior Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salam kwa nyinyi nyote wana jf. Jina langu naitwa Rwehumbiza. Nimemaliza chuo kikuu mwaka 2011 katika fani ya biashara nikijikita zaidi katika masuala ya ununuzi (materials management) na kufaulu vizuri masomo yangu, pia kabla ya hapo ufaulu wangu katika ngazi ya kidato cha nne na sita ni mzuri kwani nilipata daraja la kwanza (division one) kwa hvyo vidato vyote. Mpaka sasa nina uzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja katika masuala ya manunuzi na ugavi. Pia nimesajiliwa kwenye bodi ya wataalamu wa manunuzi na ugavi. Lengo la kuandika haya yote ni kujitangaza kwa makampuni na mashirika mbalimbali yaliyotayari kuniajiri ili nifanye kazi pamoja nayo. Kuanzia july mwaka huu mpaka sasa nimeajiriwa na kampuni flani hapa mjini dar es salaam lakini maslahi niyapatayo hayalingani na kazi nizifanyazo, na pia mwanzilishi wa kampuni analenga zaidi kuinua familia yake kwani ndo malengo yake makuu ya kuanzisha hii kampuni. Hivyo basi kwa kampuni au shirika lolote lililotayari kufanya kazi na mtu ambaye ni mchapa kazi, mpenda maendeleo, mwenye kujituma, na mwenye uzoefu katika vitendo, mawasiliano yangu ni 0684073794. Natumaini ya kuwa nitapata majibu chanya kutoka kwa waajiri.
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tutakufikiria samahani kama nikiuizi na hili swali ni moja ya interview Ulishawahi kuwa na mahusiano ya jinsia moja na kama hapana ukipendwa utakubali?
   
 3. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  are u compentent enough?
   
 4. b

  bishankara Senior Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kweli mhaya hajifichi kabisa
   
 6. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  je umesoma swali lake vizuri au umejibu tu
   
 7. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  haya yanahusika vp tena kwenye hoja hii!!!!!!!!!!!!!1
   
 8. b

  bishankara Senior Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yanahusika katika hoja ya kuulizia kupendwa na mahusiano.
   
 9. b

  bishankara Senior Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda kama sijaelewa vizuri swali lake. Naomba unifafanulie vizuri nirudie kujibu.
   
 10. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Swali lake ni kuwa umewahi kuwa kwenye mahusiano ya jinsia moja, jibu lako wewe ni ndio. Is that so?
   
 11. b

  bishankara Senior Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapa hoja siyo mhaya bali ni kujitangaza kama maana halisi ya kuanyisha hii mada.
   
 12. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145

  SWALI:Tutakufikiria samahani kama nikiuizi na hili swali ni moja ya interview Ulishawahi kuwa na mahusiano ya jinsia moja na kama hapana ukipendwa utakubali
  ?

  UKAJIBU:
  nilishawahi na nipo kwenye uhusiano wa wazi. Kwa hiyo la kupendwa sitakubali. Samahani nimesahau kuwambia pia kuwa mimi ni jinsia ya me.  ALIKUULIZA KUWA UMESHAWAHI KUWA NA MAHUSIANO YA JINSIA MOJA?mfano mwanamke/mwanamke(lesibian) au mwanaume/mwanaume(shoga) its so offensive you know angalia sana uendako shida isikufanye uuze utu wako kuwa makini sana ,hili swali lilikuwa kwenye mada moja mwanajamii mwenzetu aliulizwa na moja ya vigezo vya hiyo kazi ni uwe umewahi kuwa kweny uhusiano huo .natumaini umenielewa mkuu
  pitia mada hii hapa

  Ajira TZ

   
 13. b

  bishankara Senior Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa kunielewesha vizuri zaidi. Jibu langu ni HAPANA.
   
 14. b

  bishankara Senior Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Majibu ya hapo yote ni HAPANA
   
 15. b

  bishankara Senior Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ooh, nilikuwa sijasoma vizuri swali lake. Siwezi na sitawahi kufikiria mahusiano ya jinsia moja. Kama kigezo ndo hicho cha kupata kazi hata kama ni ya ikulu niache niwe tu masikini. MUNGU ALITUAHIDI KUWA VICHWA BADALA YA MKIA SISI WOTE TUNAOMWABUDU.
   
 16. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Msaidieni kazi kama huna cha maana cha kumsaidia nenda chichat ukapost utumbo kwa vilaza kule.
   
 17. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nimefuatilia majibu yako mwanzo mpaka mwisho nataka nikulize swali jingine kwako wewe kama unataka kazi lakini unaogopa kumkufuru mungu kwanini usiache kutafuta kazi badala yake uwe mchangaji au padri ili uweze kumtumikia mungu kwa ukaribu zaidi.
   
 18. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kumbe chitchat ni kwa vilaza?subiri niwataarifu
   
 19. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  umesoma kweli hiyo post niliokulink kweli mkuu?
   
 20. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,201
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Hongera kwa kupata dv 1.
   
Loading...