Tangazo!!! Tangazo!!! Tangazo!!!

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Nimepewa tenda na my wife ya kutafuta house girl.VIGEZO awe mzuri kupita my wife,mwenye chuchu saa sita umbo namba 8,mpole,mcheshi,mwenye kujituma,awe tayari kufanya kazi yoyote nitakayo mpatia.mshahara ni mzuri pia naweza kuongeza mshahara kama atafanya kazi overtime.INTAVYUU usaili utafanyika kesho mchana nyumbani ambapo wife atakuwa hayupo. ANGALIZO 1.asiwe muongo 2.malupu lupu yote asimwonyeshe my wife,3.ajichunge na vijana wa mitaani wasije waka mmimba.UONAPO TANGAZO HILI MWAMBIE NA JIRANI YAKO.
 
Una lako jambo au Umechoka na amani??
 
Mkeo akitaka houseboy nipo tyari bro. tafadhali sana.
 
safi sana kijana ndo mapenzi ya ukweli kutumwa na mkeo !!!!!
akikutuma mtafutie house boy kwa vigezo hivyo plz nii4m sawa !!!!!!!!!!
 
Duh!kiongozi nimevikubali vigezo vya mpango kando wako..ahahaha!lol!
 
Itakuwaje hapo kwenye usaili ukikuta mkeo kafanya njama ya kukuleta girl friend wako wa zamani !! Halo Halo !!
 
safi sana kijana ndo mapenzi ya ukweli kutumwa na mkeo !!!!!
akikutuma mtafutie house boy kwa vigezo hivyo plz nii4m sawa !!!!!!!!!!

nashukuru ila hapo pengine mh!
 
Itakuwaje hapo kwenye usaili ukikuta mkeo kafanya njama ya kukuleta girl friend wako wa zamani !! Halo Halo !!

we!we!we! Patakuwa patamu hasa awe huyo girl friend awe aliwahi kunikataa afu leo yupo katika himaya weeeeeeh!
 
kama tenda umepewa na wife, kwa nini interview ifanyike wakati hayupo? na hayo marupurupu je? naona hili dau umejitangazia mwenyewe , na jitaidi kuifuta hapa jf kabla wife wako hajaiona.
 
kama tenda umepewa na wife, kwa nini interview ifanyike wakati hayupo? na hayo marupurupu je? naona hili dau umejitangazia mwenyewe , na jitaidi kuifuta hapa jf kabla wife wako hajaiona.

eeee akiona mtanifundisha maujanja jamanieee
 
Jamanieeeee mbona hamjanitafutia ? Au niweke hadharani mshahara mnono?mh! Wengine humu mmeshaanza kunirushia njiwa haya bana tutakutana uzeeni kwenye kugongeana ugoro.
 
kama tenda umepewa na wife, kwa nini interview ifanyike wakati hayupo? na hayo marupurupu je? naona hili dau umejitangazia mwenyewe , na jitaidi kuifuta hapa jf kabla wife wako hajaiona.

eeee akiona mtanifundisha maujanja jamanieee
 
hata mimi nipo tayari, take my number down here

he! Ivuga na wewe umedata kwa my wife? Naomba uni pm ili tupange biashara.au nikutumie picha?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…