kimu mazengo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 927
- 734
Wakuu karibuni sana.Jipatie hii perfect maalumu. imeandaliwa kitaalamu na ni technical kwa wanafunzi wa sekondari.
Kitabu (perfect )kimoja kuna masomo mawili (kiingereza na fasihi ya kiingereza)
Fomu 1_4.
Mwanafunzi anaouwezo mkubwa wa kufaulu kupitia hiki kitabu..mifano ni mingi imewekwa.
Pia kuna mitihani mingi (past papers) .
Sio tu kwaajili ya mwanafunzi pia mwalimu anaweza kufundishia kwa kutumia hiki kitabu ,kwani mifano ni mingi.
Kwa wale wanaohitaji kujifunza kiingereza kilichonyooka zaidi hapa ndipo mahala pake.
Bei halisi ni sh..10,000 tu.
OFA:
Kwa wanafunzi wa wilaya MANYONI watajipatia hiki perfect kwa gharama nafuu zaidi sh.6,000 tu...(ninamasilahi na hiyo wilaya kiukombozi zaidi)
Hakika hii ni habari njema kwa wanafunzi ..
Mbalikiwe sana wana wa mungu..
View attachment 2144391
Pamphlet.Perfect or pamphlet?
Tafiti zinaonesha kuwa idadi kubwa ya wanafunzi wa sekondari zaidi ya 72% hufeli somo la kiingereza. Zipo sababu nyingi ikiwemo kutokuwepo kwa vitambu ambavyo ni technical. Mwanafunzi anashindwa kufaulu kutokana na minotisi mingi anashindwa aanzie wapi.Pamphlet.
Karibu mkuu
hii ni hatari kweli kweli elimu yetu inapita kwenye changamoto za kitaaluma kweli kweli, si kama nataka kumharibia biashara huyu ndugu ila acha ni nyamaze tuu,…..Perfect or pamphlet?
Imagine huyo ndyo mwl wa kiingereza Sasa hahahahahii ni hatari kweli kweli elimu yetu inapita kwenye changamoto za kitaaluma kweli kweli, si kama nataka kumharibia biashara huyu ndugu ila acha ni nyamaze tuu,…..
Kila kazi inafitina na hujuma.hii ni hatari kweli kweli elimu yetu inapita kwenye changamoto za kitaaluma kweli kweli, si kama nataka kumharibia biashara huyu ndugu ila acha ni nyamaze tuu,…..
Ili uweze kuprove hayo unayosema ,nunua ujionee mwenyewe .....ninaweza au la?!Imagine huyo ndyo mwl wa kiingereza Sasa hahahaha
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu umeandik parfect badal ya pamphlet mkuu inawez ukaediKila kazi inafitina na hujuma.
Najua unataka kusema haijakidhi vigezo((siruhusiwi kufanya hivi)
Huu ni uelewa mdogo tu na kukosa maarifa.
Sawa jamaa yangu.Kwa sababu umeandik parfect badal ya pamphlet mkuu inawez ukaedi
Sikulazimishi ununue .Mwalimu wa 'English' hujui tofauti ya 'pamphlet' Vs perfect?????? huwezi kuandika hata neno 'technical' kwa ufasaha alafu unataka tununue …….
Kama neno 'technical' hufahamu kwa ufasaha ,njoo nikufundishe jamaa yangu .Mwalimu wa 'English' hujui tofauti ya 'pamphlet' Vs perfect?????? huwezi kuandika hata neno 'technical' kwa ufasaha alafu unataka tununue …….