Tangazo muhimu

Tangazo muhimu

kimu mazengo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
927
Reaction score
734
Jipatie hii pamphlet maalumu. imeandaliwa kitaalamu na ni technical kwa wanafunzi wa sekondari.
Kitabu (pamphlet) kimoja kuna masomo mawili (kiingereza na fasihi ya kiingereza)

Fomu 1_4.

Mwanafunzi anaouwezo mkubwa wa kufaulu kupitia hiki kitabu..mifano ni mingi imewekwa.
Pia kuna mitihani mingi (past papers) .
Sio tu kwaajili ya mwanafunzi pia mwalimu anaweza kufundishia kwa kutumia hiki kitabu ,kwani mifano ni mingi.
Kwa wale wanaohitaji kujifunza kiingereza kilichonyooka zaidi hapa ndipo mahala pake.
Bei halisi ni sh..10,000 tu.

OFA:
Kwa wanafunzi wa wilaya MANYONI watajipatia hiki perfect kwa gharama nafuu zaidi sh.6,000 tu...(ninamasilahi na hiyo wilaya kiukombozi zaidi)
Hakika hii ni habari njema kwa wanafunzi ..
Mbalikiwe sana wana wa mungu..

IMG_20220306_125901.jpg
 
Jipatie hii perfect maalumu. imeandaliwa kitaalamu na ni technical kwa wanafunzi wa sekondari.
Kitabu (perfect )kimoja kuna masomo mawili (kiingereza na fasihi ya kiingereza)

Fomu 1_4.

Mwanafunzi anaouwezo mkubwa wa kufaulu kupitia hiki kitabu..mifano ni mingi imewekwa.
Pia kuna mitihani mingi (past papers) .
Sio tu kwaajili ya mwanafunzi pia mwalimu anaweza kufundishia kwa kutumia hiki kitabu ,kwani mifano ni mingi.
Kwa wale wanaohitaji kujifunza kiingereza kilichonyooka zaidi hapa ndipo mahala pake.
Bei halisi ni sh..10,000 tu.

OFA:
Kwa wanafunzi wa wilaya MANYONI watajipatia hiki perfect kwa gharama nafuu zaidi sh.6,000 tu...(ninamasilahi na hiyo wilaya kiukombozi zaidi)
Hakika hii ni habari njema kwa wanafunzi ..
Mbalikiwe sana wana wa mungu..

View attachment 2144391
Wakuu karibuni sana.
 
Pamphlet.
Karibu mkuu
Tafiti zinaonesha kuwa idadi kubwa ya wanafunzi wa sekondari zaidi ya 72% hufeli somo la kiingereza. Zipo sababu nyingi ikiwemo kutokuwepo kwa vitambu ambavyo ni technical. Mwanafunzi anashindwa kufaulu kutokana na minotisi mingi anashindwa aanzie wapi.

Hivyo kwa kutambua umuhimu wa elimu ,hii ni fursa kwa wanafunzi kujipatia hii techical pamphlet.

Kwa mawasiliano zaidi chukua hizo namba .
 
hii ni hatari kweli kweli elimu yetu inapita kwenye changamoto za kitaaluma kweli kweli, si kama nataka kumharibia biashara huyu ndugu ila acha ni nyamaze tuu,…..
Kila kazi inafitina na hujuma.

Najua unataka kusema haijakidhi vigezo((siruhusiwi kufanya hivi).

Huu ni uelewa mdogo tu na kukosa maarifa.
 
Kila kazi inafitina na hujuma.
Najua unataka kusema haijakidhi vigezo((siruhusiwi kufanya hivi)
Huu ni uelewa mdogo tu na kukosa maarifa.
Kwa sababu umeandik parfect badal ya pamphlet mkuu inawez ukaedi
 
Mwalimu wa 'English' hujui tofauti ya 'pamphlet' Vs perfect?????? huwezi kuandika hata neno 'technical' kwa ufasaha alafu unataka tununue …….
 
Mwalimu wa 'English' hujui tofauti ya 'pamphlet' Vs perfect?????? huwezi kuandika hata neno 'technical' kwa ufasaha alafu unataka tununue …….
Sikulazimishi ununue .
Ujuaji ni sababu mojawapo ya kufeli mitihani.
Unawezo kufundishwa kiingereza zaidi.
Karibu ...
 
Mwalimu wa 'English' hujui tofauti ya 'pamphlet' Vs perfect?????? huwezi kuandika hata neno 'technical' kwa ufasaha alafu unataka tununue …….
Kama neno 'technical' hufahamu kwa ufasaha ,njoo nikufundishe jamaa yangu .
Utanishukuru sana.
Kama ulifeli mitihani ya fomu 4 ,unaweza kurudia na ukafaulu vizuri sana.
Kama ulimaliza chuo hufahamu kiingereza vizuri ni wakati wako sasa kujifunza.
Usikate tamaa mkuu.
Karibu sana.
 
Back
Top Bottom