kuna
tetes nlzopata toka kwa mdau mmoja wa voda kwamba wale kina dada kwenye
tangazo la wajanja wa voda ni wasanii toka Uganda..................sasa
jaman ina maana kina dada wetu wa kibongo wasingefaa pale au ndo jinsi
wabongo tunavyodharau vyetu kihvyo!