Sema ukweli tigo n mtandao wa simu wenye watu wabunifu sana hapa tz, ila sema uendelezaji wao & promotion ndo waongeze bidiiTangazo la sasa la voda la 4G analofanya Mpoki linafanana na lile la tigo alilofanya Joti....sasa ni kwamba wamekosa ubunifu...
weka hzo concept tuzioneconcept ni ile ile
0K mr.mtui yes nimekupata kwel hawa jamaa wamec0py na wamepasteConcept ya kuwahutubia watu