Tangazo la nafasi za kazi.

Tangazo la nafasi za kazi.

Tugutuke

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
501
Reaction score
168
Buricheka Recreation Centre inahitaji wafanyanyakazi katika fani zifuatazo.
1. wahudumu wa Bar wawili.
2. Mpishi wa jikoni mmoja.
3. Walinzi wawili wa kiume umri kuanzia miaka 27-55.
Vigezo kwa wote: uwe na uzoefu usiopungua miezi 6.,uwe mwaminifu na mwenye nidhamu!
Kwa aliye tayari.. Awasiliane na meneja kwa maongezi zaidi na makubaliano ya mshahara kupitia namba hizi. 0718651174 au 0768252589.
Asanteni.
 
Sh ngapi kwa saa?
 
Back
Top Bottom