TANGAZO LA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI
Hodi! Kwa gt!
Mwalimu wa shule ya sekondari LULEMBELA, Halmashauri ya Wilaya Mbogwe, Mkoa wa Geita. Anatafuta Mwalimu wa Kubadilishana naye kituo cha kazi.
Mwalimu yeyote aliye Mkoa wa MARA katika Halmashauri zifuatazo,
Halmashauri ya wilaya Rorya na Halmashauri ya wilaya ya Tarime. Mnakaribishwa sana.
Mawasiliano:
Simu namba:
+255 742 567 453
+255 687 023 417