M miss tassi Member Joined Feb 12, 2014 Posts 11 Reaction score 2 Nov 30, 2014 #1 Wana jf naombeni msaada nimeitwa kwenye interview na TRA kutokana na majukumu sikuweza kuhifadhi tangazo la nafasi za kazi plz mwenye link naomba aiweke hapa. Msaada wenu unahitajika.
Wana jf naombeni msaada nimeitwa kwenye interview na TRA kutokana na majukumu sikuweza kuhifadhi tangazo la nafasi za kazi plz mwenye link naomba aiweke hapa. Msaada wenu unahitajika.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Nov 30, 2014 #2 Sasa kama ulikua na kazi nyingne uliapy ili iweje?au ndo tamaa za fisi?
R ramase JF-Expert Member Joined Nov 28, 2012 Posts 241 Reaction score 50 Nov 30, 2014 #3 nimeitwa na mimi kwenye assitanat customs officer. Ila pitiapitia naona mishahara yao midogo sana eti laki 9 net.
nimeitwa na mimi kwenye assitanat customs officer. Ila pitiapitia naona mishahara yao midogo sana eti laki 9 net.
M miss tassi Member Joined Feb 12, 2014 Posts 11 Reaction score 2 Nov 30, 2014 Thread starter #4 kwa hiyo wewe majukumu unayoyajua ni kazi tu, husomi taarifa vizuri unakurupuka kama umetoka kuamka kama huna hyo link kaa kimya.
kwa hiyo wewe majukumu unayoyajua ni kazi tu, husomi taarifa vizuri unakurupuka kama umetoka kuamka kama huna hyo link kaa kimya.
kindili kindili JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 242 Reaction score 54 Dec 1, 2014 #5 Mshahara mdogo umefananisha na wa nan???????