Tangazo la KIPUMBAVU. Eti will be able to generate, Kwa hiyo mpaka awe able kugenerate sasa hiyo si kujiajiri mwenyewe? Kampuni za kitapeli hizi utapiga kazi mwisho unaambiwa 'you were not able to generate ' kwa hiyo hakuna mshahara
Taja majukumu ya kazi na mshahara ni kiasi gani Matapeli Nyie