William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
-
- #21
Tafadahali weka hata adress yao hapa ili iwe rahisikutuma kwa westunion,moneyorder na njia nyingine.Tukiwa na adress ni rahisi, weka adress yao tafadhali.
Ubarikiwe!Sawa sawa mkuu, The address ni kama ifuatavyo:-
A. Magaluda
24 Rosemount Street,
Rochester, NY 14620.
Ahsanteni Wakuu.
Sawa sawa mkuu, The address ni kama ifuatavyo:-
A. Magaluda
24 Rosemount Street,
Rochester, NY 14620.
Ahsanteni Wakuu.
Mkuu umefika wapi na mipango ya Paypal ??
- Mkuu Zakumi, jana usiku niliweza kumpata Mkuu Abel, na amejaribu sana kufungua hiyo account lakini ilikuwa inampa shida sana, kwa hiyo leo nitajaribu naye tena kuona ni vipi hasa maana mpaka usiku sana jana aliniambia kuwa wanamwambia asubiri siku 60 kuifungua.
- Sasa sielewi tatizo liko wapi ila nitajaribu kufuatilia baadye leo, ila kama una nay info on it naomba ni-PM. Ingawa pia naomba kuendelea kuwashukuru waliokwisha itikia wito kwa njia zingine.
Thanxs!
- Mkuu wangu Zakumi, inavyoonekana hi ya paypal ni mzigo mzito at this time kumbebesha ndugu yetu anayeuguza,
-Ninaomba tena kama inawezekana tutumie njia zingine tafadhali sana ndugu zangu, just for this case, hapa nina namba nyingine anayoweza kupatikana kwa urahisi yaani yeye mwenyewe muuguzaji, nayo ni 1-347-238-9250.
Thanxs!
Naona swala la Paypal limeongelewa tayari walau kwa kugusiwa na wenzangu. Kwa vile tuko katika dharura, na mtu wa karibu kama unavoeleza ameshindwa kufungua; mimi napenda kuulizia tu kama hamna mtu yeyote aliyekaribu mwenye Paypal iliyo active anayeweza kukubali account yake kutumika walau kwa wiki chache hizi tukiwa katika hili wimbi la kutaka kumsaidia mwenzetu. Yaani inatatisha kuona kuwa hamna Wabongo waliokaribu hao wanaoweza kukubali kufanya hili...
1.
- Kama kuna yeyote mwenye tatizo please tuwasiliane kwenye PM, ili tu-move forward na msaaada, hoja zako Mkuu Steve ziko sawa kabisa na ninaamini tumezisikia kama zilivyo bila ya kupunguza wala kuongeza, ziko sawa sawa.
Respect!
- Mkuu wangu Zakumi, inavyoonekana hi ya paypal ni mzigo mzito at this time kumbebesha ndugu yetu anayeuguza,
-Ninaomba tena kama inawezekana tutumie njia zingine tafadhali sana ndugu zangu, just for this case, hapa nina namba nyingine anayoweza kupatikana kwa urahisi yaani yeye mwenyewe muuguzaji, nayo ni 1-347-238-9250.
Thanxs!