lakini kuna jambo dogo sana wamezingua, kule mwisho baada ya dogo kupiga pafu, na kaka yake kama kumfanya mdogo wake ajimwagie soda lakini soda kwenye chupa haikupungua, jaribu kuangalia kwa umakini kidogo, soda ilitakiwa ipungue lakini haikuwa hivo,Hili tangazo la Coca Cola 'Hey brother' limetengenezwa kwa ustadi na ubunifu mkubwa sana
Kwa kuanza tu wametumia soundtrack nzuri 'Hey Brother' ulioimbwa na kundi la Space Campa wakimshirikisha Josh Jones.
Huu wimbo hata mimi naupenda.
Angalia rangi za nguo, viatu na kofia walizovaa, headphones na ile game pad aliyoshika yule dogo; vyote hivyo vinashahabiana na brand ya Coca cola
Angalia vizuri pale kaka mtu aliyevalia kiatu cheusi akimkanyaga mdogo wake aliyevalia kiatu chekundu.Hapo kuna mantiki ya upinzani wa kibiashara.
Hawakuishia hapo, angalia tena pale kaka mtu alipokuja kumtetea mdogo wake tazama vizuri nguo na viatu walizovaa wale ma-bullies na zile walizovaa the two brothers kuna kitu hapo wanakiashiria.
Kweli biashara ni ubunifu
Hana ubavu, tafafanyeje sasa...inabidi awe tu mpoleMie huwa napenda dogo anavyoonewa halafu anatake easy
Kweli nimeamini kuna watu akili zao zipo kushoto sasa we ndugu yetu unakosoa kitu ambacho kila mwenye ufahamu hapa amecomment uhalisia unataka link ya soundtrack ili ufanye nini ? Au ndio utaamini kweli nchi hii ina kazi ngumu juu watu Kama hawaMtoa mada ni MTU wa ajabu,unadhani kila MTU hilo tangazo analijua au kila MTU ana muda wa kushinda na tv?weka link au wimbo wenyewe.
Kama Mimi siujui na wala sijawai kuona,kwani ukiuweka hapa kwa faida na wengine,kuna ubaya gani?Kweli nimeamini kuna watu akili zao zipo kushoto sasa we ndugu yetu unakosoa kitu ambacho kila mwenye ufahamu hapa amecomment uhalisia unataka link ya soundtrack ili ufanye nini ? Au ndio utaamini kweli nchi hii ina kazi ngumu juu watu Kama hawa
Sent from mTalk
Haya mkuu jamaa wameshakutafunia videosKama Mimi siujui na wala sijawai kuona,kwani ukiuweka hapa kwa faida na wengine,kuna ubaya gani?