Tangazo la biashara


Joined
Dec 1, 2010
Messages
68
Likes
0
Points
0
Joined Dec 1, 2010
68 0 0
Naomba nitangaze biashara yangu humu JAMVINI ili iwafikie wale wenye mahitaji.
Kama unatafuta au una shida na kitu, kifaa au chombo chochote kipya au kilichotumika, tena genuine, au unatafuta spea ya aina yoyote ya gari, pikipiki kubwa au vitu vya electronics, batteries, vitabu , computer softwares, laptops, camera parts, music system parts, information, au kifaa kingine chochote ambacho huwezi kukipata hapo Tanzania, basi ijaribu PACIFICA MARINE LLC ambayo inafanya shughuli hizi tangu 2005.

Sisi tumesajiriwa hapa Washington DC nchini Marekani na tunao mtandao mkubwa sana wa kukuwezesha kupata kitu unachohitaji tena kwa bei inayoeleweka. Unachotakiwa kufanya ni:-
1. Kuwasiliana nasi kwa e-mail: pacificamarine@yahoo.com na kisha utueleze hitaji lako. Tutaanza mawasiliano nawe kwa kukupigia simu au e-mail ili utupe details za kitu unachotafuta.
2. Tutakutafutia na kukupa bei ya kununulia kifaa hicho pamoja na gharama ya kukisafirisha.
3. Tukikubaliana, tutakinunua popote kilipo ( hasa USA, Canada, Australia, Japan au UK) China haimo kwenye uwakala wetu.
4. Tutakituma kwa agent wetu ambaye yupo hapo Haidery Plaza karibu na Posta Mpya, Dare s Salaam, Tanzania. Pia tutakupa contact zake za simu ili uanze kuwasiliana naye.
5. Kikishafika Dar es Salaam, utakwenda ofisini kulipia na kisha kuchukua kifaa chako.
Pamoja na shughuli hizi, tunasafirisha mizigo kwa njia ya meli kutoka USA kwenda kwenye bandari zote zilizoko Pwani ya Bahari ya Hindi, kama Djibouti, Mogadishu, Mombasa, Tanga, Dar es Salaam, Beira na Durban huko Afrika Kusini. Tunasafirisha kwa njia ya makontena na loose cargo vile vile.
Pia kunauza tiketi za ndege kupitia kwa wakala wetu walioko Florida, USA. Hata kama unasafiri toka Mwanza kwenda Dar es salaam, unaweza kuulizia ni kiasi gani kwa return ticket nasi tutakukatia hiyo tiketi. Bei zetu ni very competitive .
Hivi karibuni tumeanza kuuza magari toka USA na biashara inaendelea vizuri. Tunazo reference nzuri kwa watakaohitaji.
KARIBUNI
 
Joined
Oct 31, 2010
Messages
54
Likes
0
Points
13

shilanona

Member
Joined Oct 31, 2010
54 0 13
Bwana Pacifica, Je waweza kunitafutia Simu ya mkononi aina ya HTC HD2 Unlocked GSM? Idara yetu nzima hapa mambo ya xxxxxxxx anayo katibu mkuu peke yake. Au unasemaje?
 

Gudboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
864
Likes
48
Points
45

Gudboy

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
864 48 45
wewe bwana nimekutumia email lakini wala hujibu, sasa unatangaza biashara kweli na pia unahitaji wateja?
 
Joined
Oct 31, 2010
Messages
54
Likes
0
Points
13

shilanona

Member
Joined Oct 31, 2010
54 0 13
Ndugu kuna tofauti kubwa ya masaa kati ya hapo ulipo na huku tuliko sisi. Tafadhali weka kama 12-24 hours kabla hujapata majibu. hata hivyo Ms Gudboy sijapokea e-mail yako. Wengine wote waliotuletea maombi yao tunaendelea kushughulikia. Inapokuwa mchana hapo ulipo sisi huku tumelala. Vuta subira.
 
Joined
Dec 1, 2010
Messages
68
Likes
0
Points
0
Joined Dec 1, 2010
68 0 0
Kama wewe ndiye ulietuletea hili ombi hapo chini, basi tunashindwa kukupata: Tafadhali tuletee e-mail contacts zako ili tukutumie quotes: Simu uliyoomba tunayo:Nokia N93 (Unlocked) Black GSM 3.2 MP Wi Fi 3G phone kwa bei ya $ 295.00 excluding shipping & tax in TZ.

Email yetu ni : pacificamarine@yahoo.com


Dear pacificamarine,

You have received a new private message at JamiiForums |The Home of Great Thinkers from Gudboy, entitled "NOKIA N93i".

To read the original version, respond to, or delete this message, you must log in here:
https://www.jamiiforums.com/private.php

This is the message that was sent:
***************
nahitaji hiyo simu kaka, fanya utaratibu niipate mkuu
***************

Again, please do not reply to this email. You must go to the following page to reply to this private message:
https://www.jamiiforums.com/private.php

All the best,
JamiiForums |The Home of Great Thinkers
 

mubi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2010
Messages
332
Likes
45
Points
45

mubi

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2010
332 45 45
Physical address zenu? na contact phones and Faxes? Tunataka kuwapa SO kutoka Tanga from Newyork
 

Forum statistics

Threads 1,204,647
Members 457,389
Posts 28,165,324