Tunatengeneza:
-Business card za aina zote za mtu mmoja mmoja, za kampuni na za asasi za kijamii kwa muundo tofauti tofauti kulingana na mahitaji yako.
-Vipeperushi pia tunatengeneza kwa ajili ya matangazo mbalimbali za kibiashara au shughuli zako unazofanya na semina/kongamano mbalimbali unazotaka watu wafahamu vizuri shughuli zako kwa urahisi zaidi.
-Na pia tuna-design logo kulingana na aina ya biashara yako au shughuli zako.
Kwa yeyote anayetaka huduma hizo, ani-PM
Karibuni sana...