Tangazo la ajira kwa watu wa kada ya Optometrist

mwidowelugendo

New Member
Sep 19, 2016
2
0
Habari wanajamii!

Natafuta mtaalamu wa macho yan optometristy kwaajili ya kufanya naye kazi..

Ni ajira ya uhakika

Naomba mwenye mawasiliano au kama ni wewe au ndugu pia rafiki unamfahamu naomba tuwasiliane kwa 0744518782

IRINGA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom