Siku ya Ijumaa kuna mfanyakazi mwenzangu alikuwa anasafiri toka Mlandizi kuja Dar es salaam
bahati mbaya kuna abiria mmoja anaitwa Bw.Mussa Bendera kwa mujibu wa
nyaraka zake, alimuomba amhifadhie bahasha sababu basi lilikuwa na abiria wengi bahati
mbaya huyu Bwana alishuka pasipo kukumbuka bahasha yake.
Kwa mtu yeyote anayemfahamu amwambie apige simu hii hapa 0787840749 ili achukue nyaraka zake.