Kama wewe ni mjasiriamali basi usipitwe na fursa hii kabambe. Kama wanavosema biashara matangazo jitangaze sasa na Tabibu TV.
Tabibu TV maisha huanza na sisi.
Mimi naomba kazi hapo ya Kutunga vipindi nipo very creative na nitawatungia vipindi bora
1:Music na burudani
2:Michezo
3:jamii
4:afya
5:dini
Nita volunteer tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.