na kweli hili zao limewaliza wengi pande za njombe hawana hata hamu nalo tenaMiongoni mwa mazao ambayo wakulima walipata sana kimavuno lakini soko likadoda kutoka kwenye maelfu kwa kilo mpk mamia kadhaa. Pande za njombe - Songea nina rafiki yangu nae ana tani kadha wa kadha akitafuta soko. Poleni sana
Atajitokeza vipi wakati bei haifahamikiNapenda kuwatangazia kuwa nina kiasi cha zaidi ya tani 60 za tangawizi mbichi. Inapatikana Songea.A serious buyer ajitokeze tuwasiliane zaidi.
Ahsante